Thursday, 14 May 2015

SEMINA YA NENO LA MUNGU 04/07/2015

God is Mighty




  





Bwana Yesu asifiwe!

Huduma ya EL GIBBOR TZ inawatangazia watu wote kuwa kutakuwa na semina ya Neno la Mungu kwa wiki moja itakayoanza 04/07/2015 hadi 11/07/2015 katika kijiji cha Mbori wilayani Mpwapwa mkoa wa Dodoma.

Tunakualika kushirikiana nasi kwa maombi ili kusudi la Mungu la kuandaa semina hii litimie katka jina la Yesu, Amen!!!

No comments:

Post a Comment

Welcome