DAYOSISI
YA RUAHA YAPATA MACHEMASI NA MAKASISI WAPYA.
Katika
Ibada ya kuwaweka wakfu, iliyofanyika katika kanisa Kuu la Anglikana
Iringa, 03/08/2014, takribani mashemasi saba (7) na makasisi (8)
waliwekwa wakfu kuhudumia kanisa la Mungu.
Ibada
hiyo iliyoongozwa na Askofu wa sasa Dr. Joseph Mgomi; pia
ilihudhuliwa na Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Ruaha Dolnald Leo
Mtetemela. Dr. Mgomi aliwaweka wakfu mashemasi 7 ambao ni:-
- Alex Malogo
- Alfa Kwanga
- Bartazar Hepelwa
- Yakobo Kilamba
- Musa Mtuli
- Steve Mbambaga na
Aidha
makasisi 8 waliwekwa wakfu na Askofu Dr. Joseph Mgomi, ambao ni:-
- Samson Chadewa
- Ernest Ndogwe
- Steve Makwaya
- Hosea Mlula
- Jackson Mhembezi
- Simon Meteli
- Galus Chuhila na
TheoCentric
& Educare inawatakia huduma njema wote mliowekwa wakfu kwa BWANA.
Mumjue sana Mungu, na kumtumikia kwa uaminifu Mungu wa Israel.
Jilindeni sana nafsi zenu na hilo kanisa; pia mlitoe kwenye matope
kanisa la Mungu alilolinunua kwa damu yake mwenyewe. Matendo 20:28.
No comments:
Post a Comment
Welcome